kabesejr blog

kabesejr

albino

Tuesday, April 30

DIAMOND NDANI YA THE SPORAH SHOW UK



Leo hii, baada ya kupia show kadhaa ndani ya London, UK, Diamond alipata nafasi ya kufanya mahojiano na kipindi cha TV cha "The Sporah Show"


Diamond akiwa na dancers wake "Wasafi" ndani ya UK

Sunday, April 7

BEN POL, LINAH NA BINTI MACHOZI KUNANI?


UNAJUA  kinachoendelea katika mitandao ya kijamii? Leo nazungumza na Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, Benard Paul ‘Ben Pol’ na Estelina Sanga ‘Linah’.
Kwako wewe the big boss wa Machozi Band, Jide au Anaconda kama unavyojiita siku hizi. Katika siku za hivi karibuni umekuwa ukilalama sana kuhusu kubaniwa kupigwa kwa ngoma yako mpya ya Joto Hasira na kituo kimoja cha redio.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...