kabesejr blog
kabesejr
albino
Friday, December 21
Saturday, December 15
ABRAMOVICH ATAKA KUMPA FEDHA KUFURU FALCAO ATUE CHELSEA
Friday's gossip column - transfers and rumours
For transfer news and gossip throughout the day, read our breaking news service Sportsday Live.
TRANSFER GOSSIP
Chelsea owner Roman Abramovich is willing to offer Athletico
Madrid striker Radamel Falcao, 26, a £10 million a year contract to
bring him to Stamford Bridge.
Real Madrid are willing to pay up to £56million to land Tottenham winger Gareth Bale, 23, during the next two transfer windows.
Liverpool's hopes of signing Barcelona winger Cristian Tello,
21, appear to be over after he signed a new contract with the Spanish
club - but he does have an £8million buy out clause.
Wigan boss Roberto Martinez will not sell midfielder James McCarthy, 22,
in January. Liverpool manager Brendan Rodgers is thought to be keen on
signing him.
Arsenal and Manchester City are preparing to test Athletic
Bilbao's resolve to keep hold of striker Fernando Llorente, 27, in the
January transfer window.
Schalke striker Klaas-Jan Huntelaar, 29, would prefer a move to Inter
Milan this January over Arsenal or Liverpool, according to the player's
agent.
Swansea want to sign 22-year-old West Bromwich Albion defender Craig Dawson.
Newcastle United are in competition with Juventus to sign Toulouse midfielder Moussa Sissoko, 23.
Everton are unlikely to try to bring USA international Landon Donovan, 30, to Goodison on loan for a third time in January.
Roma are leading the race to sign Portuguese winger Nani, 26, from
Manchester United when the transfer window re-opens in January.
Fiorentina will make a £5.6million bid for Queens Park Rangers' midfielder Esteban Granero, 25, next month.
Frank Lampard, 34, accepts he will be leaving Chelsea at the end of the season.
OTHER GOSSIP
Manchester City defender Micah Richards, 24, hopes to return to playing by early February after knee surgery in October.
Arsenal shareholder Alisher Usmanov says former Arsenal striker Thierry Henry, 35, should join Arsenal's coaching staff.
Former Liverpool director of football Damien Comolli says that he and Kenny Dalglish were judged too quickly at the club.
Wolves academy manager Kevin Thelwell has been promoted to the new role
of head of football development and recruitment, where he will assist
manager Stale Solbakken with first-team player recruitment.
AND FINALLY
Ashley Cole was made to wait on his Chelsea team-mates at dinner
as punishment for losing at tenpin bowling on a team-bonding night in
Yokohama ahead of their Club World Cup appearance.
Joey Barton's dream move to Marseille looks to have turned sour after
the 30-year-old moaned on Twitter at having to play in front of "no
fans" and then have a "freezing" cold shower.
Wednesday, November 28
PICHA ZIKIONYESHA MAZISHI YA SHARO MILIONEA
JENEZA LILOBEBA MWILI WA MAREHEMU HUSSEIN RAMADHANI
JENELA LA MAREHEMU HUSSEIN RAMADHANI
WAKAZI NA MASHABIKI MSIBANI
MAMA WA MAREHEMU HUSSEIN RAMADHANI AKILIA KWA UCHUNGU.
ULINZI KAMILI
MZEE MAJUTO MSIBANI
MAKAZI YA MILELE YA MAREHEMU SHAROBARO
Tuesday, November 27
PICHA ZA GARI YA SHAROBARO BAADA YA AJALI
Msanii wa vichekesho na Muziki wa kizazi kipya nchini
Hussein Ramadhani Mkiete, almaarufu Sharo Millionea, ambaye alifariki jana
usiku majira ya saa mbili anatarajiwa kuzikwa kwao Mkoani Tanga mara baada ya
taratibu za mazishi kukamilika.
Ajali hiyo mbaya ilitokea eneo la Maguzoni Tanga baada ya
gari alilokuwa akiendesha T478 BVR
Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza kuacha njia na kupinduka
na alifariki dunia hapohapo ambapo polisi walimtambua baada ya kuona vitambulisho
vyake pamoja na picha moja ya paspot size aliyokuwanayo mfuko ambapo vitu hivyo
vyote viko polisi.
Rafiki wa karibu wa Sharo Diwani Makame Seif, akieleza
kwenye kituo kimoja cha radio alisema sharo Millionea ameumia vibaya sana
kichwani, kifuani na kwenye mikono. Pia Mjomba wa marehemu amethibitisha kuwa
Sharo Millionea atazikwa Tanga na asubuhi ya leo ratiba ya msiba itatolewa.
Ndugu na marafiki wa Sharo wameanza kwenda hospitalini baada tu ya taarifa hizi
kuwafikia. Familia ya Sharo imeshafika Hospitali ya Teule ya Tanga.
Jana usiku majira
ya saa 3:00 Kamanda wa Polisi Tanga alisema,
“leo majira ya
saa mbili usiku kwenye barabara ya Segera Muheza mtu mmoja alietambulika kwa
jina la Hussein Ramadhani au Sharo Milionea akiwa anaendesha gari namba T478
BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza alipofika eneo hilo
gari lake liliacha njia na kupinduka mara kadhaa na kusababisha kifo chake,
mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali Teule ya wilaya ya Muheza”
Kamanda amesema
hakuna kona kali sana wala ubovu wa barabara kwenye sehemu aliyopata ajali
Sharo Milionea, katikati ya Segera na Muheza ambapo gari imehifadhiwa mahali
salama kwa sababu haitembei.
Monday, November 26
SHARO MILLIONEA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Kuna habari kuwa msanii Hussein Ramadhani Mkiety liyekuwa
maarufu kwa jina la Sharo Millionea, msanii wa muziki na maarufu katika
kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia
baada ya kupata ajali ya gari Tanga.
Kamanda
wa Polisimkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa
Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza
ambapo pia ndio nyumbani kwao
R.I.P SHARO MILLIONEA
Alichosema kamanda hichi kama umeshinda kuisikiliza
Kuhusu kifo cha msanii/mwigizaji Sharo Milionea, namkariri Kamanda wa Polisi Tanga akisema “leo majira ya saa mbili usiku kwenye barabara ya Segera Muheza mtu mmoja alietambulika kwa jina la Hussein Ramadhani au Sharo Milionea akiwa anaendesha gari namba T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza alipofika eneo hilo gari lake liliacha njia na kupinduka mara kadhaa na kusababisha kifo chake, mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali Teule ya wilaya ya Muheza”
Kamanda
amesema hakuna kona kali sana wala ubovu wa barabara kwenye sehemu
aliyopata ajali Sharo Milionea, katikati ya Segera na Muheza ambapo gari
imehifadhiwa mahali salama kwa sababu haitembei.
Saturday, November 24
BIG WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA
RIP JOHN au BIG JOHN ni Mwigizaji toka Bongo movie na filamu yake ya mwisho mi kuiona kama wataka kumjua ni BARMED ya Nice na Irene Owoya aliact kama Boss wa bar ambae alimpa ukimwi Irene Uwoya nazani aloiona iyo movie atamkumbuka uyo mkaka ,:'( amefariki leo hosp ya muhimbili alifanyiwa opreshion ya tumbo mungu ailaze roho ya marehema mahali pema
Subscribe to:
Posts (Atom)