kabesejr blog

kabesejr

albino

Thursday, January 19

AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WENYE ELIMU YA DARAJA LA IIIA







ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU DARAJA LA TATU MWAKA 2011
WALIOPANGIWA MIKOA YA KUFANYIA KAZI
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU DARAJA LA TATU
MWAKA 2011 WALIOPANGIWA MIKOA / SHULE ZA MAZOEZI - KUFANYIA KAZI WIZARA YA
ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Kwa waombaji wote walioomba nafasi za kazi / ajira ya Ualimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na
Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, Wanatakiwa kuripoti tarehe
Wakurugenzi wa Halmashauri husika kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. Kila mwalimu anatakiwa
kwenda kwenye Halmashauri alikopangwa, kwa sababu
YATAKAYOFANYWA
01 Februari 2012 kwenye Ofisi zaHAKUNA MABADILIKO. Ambaye hataripoti ifikapo tarehe 14 Februari 2012 atapoteza nafasi hiyo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...