BIG WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA
RIP
JOHN au BIG JOHN ni Mwigizaji toka Bongo movie na filamu yake ya
mwisho mi kuiona kama wataka kumjua ni BARMED ya Nice na Irene Owoya
aliact kama Boss wa bar ambae alimpa ukimwi Irene Uwoya nazani aloiona
iyo movie atamkumbuka uyo mkaka ,:'( amefariki leo hosp ya muhimbili
alifanyiwa opreshion ya tumbo mungu ailaze roho ya marehema mahali pema
No comments:
Post a Comment