KABESEjr
kabesejr blog
kabesejr
albino
Tuesday, April 10
PICHA ZA MAZISHI YA KANUMBA KINONDONI LIVE
Gari la polisi kikosi cha mbwa kikiimarisha ulinzi
Gari iliyobeba jeneza lenye mwili wa Marehemu Steven Kanumba ila sikuweza kulipata vizuri kutokana na mtikisiko wa watu sehemu niliyosimama
Mh. Joseph Mbilinyi akitoa heshima ya mwisho
Steve Nyerere alikabidhiwa msalaba
Claud akisindikiza jeneza
Hemed na Yusuf Mlela
Wema akibebwa baada ya kuzimia
Afande Kova akitoa heshima ya mwisho
Wana kwaya wakiimba
Wema Sepetu akiwa amezimia
Picha : Desmond pamoja na baadhi ya wadau ambao nimezitumia kutoka sehemu tofauti tofauti
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment