Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chillah
Tenga ametangaza rasmi kutogombea tena uongozi wa shirikisho hilo, baada ya
kulitumikia kwa miaka minane. Pichani ni Tenga mwenye umri wa miaka 58
akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF mchana wa
leo. HABARI ITAFUATIA BAADAYE.
|
No comments:
Post a Comment