David akionesha manjonjo kufurahisha wateja wake
David akiimba kwa hisia huku akisisitiza watu wanunue CD zake
Sebene limekolea kwa Msanii David
Msanii David akiwa ameshikilia CD yenye nyimbo 10 huku akiwataka wadau wanunue CD Zake
Ghafla watu wakajaa na kuanza kununua CD za Msanii David mara baada ya kuimba kwa muda Mrefu
Umati wa watu waliyofulika kununua CD za Msanii David ambaye alipata wateja wengi alipoanza kucheza mwenye
MSANII Chipukizi wa Muziki wa Injili David Usairi amenaswa na kamera zetu akifanya kioja kucheza na kuuza
CD zake mitaa ya Kariakoo jijini Dar, jana jioni, aidha watu walikuwa
wanamshangaa jamaa pale alipoanza kucheza mwenyewe huku akiwataka watu
wanunue CD za nyimbo zake. Kadri
watu walivyoongezeka ndiyo mwanamziki huyo alikoleza Sebene ili
kuhakikisha anawavutia zaidi watu waliyokuwa katika tukio hilo,
Mwandishi wetu aliongea nae. David nae alikuwa na haya ya kusema;David akiimba kwa hisia huku akisisitiza watu wanunue CD zake
Sebene limekolea kwa Msanii David
Msanii David akiwa ameshikilia CD yenye nyimbo 10 huku akiwataka wadau wanunue CD Zake
Ghafla watu wakajaa na kuanza kununua CD za Msanii David mara baada ya kuimba kwa muda Mrefu
Umati wa watu waliyofulika kununua CD za Msanii David ambaye alipata wateja wengi alipoanza kucheza mwenye
“Nimeamua kuuza CD zangu mwenyewe kwani watu wamekuwa wanatuibia sana kazi zetu wasanii, niko na toroli langu ambalo litanisaidia kuhakikisha Napata haki zangu zote bora niuze mwenyewe maana watu wanafaidi zaidi jasho letu sisi wasanii kazi hii naipenda sana kwani inanipa kipato” Alisema David
No comments:
Post a Comment