kabesejr blog

kabesejr

albino

Friday, January 31

WAMAREKANI HAWAMTAKI BIEBER, KISA HIKI HAPA

 Justin Bieber
Inawezekana kuna fan base kubwa ya Justin Bieber wako ktk huzuni kubwa baada ya msanii kukamatwa na kijiti hivi karibuni nchini Marekani,
lakini pia kuna wamarekani elfu 40 wanaotaka msanii huyo mwenye umri wa miaka 19 anyan’ganywe green card au afukuzwe nchini humo kwa madai kwamba anakiharibu kizazi kipya cha Marekani kutokana na tukio lake la hivi karibuni pale alipokamatwa na akiwa anaendesha ndinga huku leseni yake ikiwa imeisha muda, na pia alikutwa na marijuana.
sasa watu hao wanakiri kuwa msanii mwenye asili ya Canada ana fan base kubwa nchini Marekani na ndio maana wanahofia ataharibu watoto.
tayari watu hao wamesign petition kuiomba ikulu ya Marekani itoe maamuzi hayo haraka, na ili rais Obama aweze kusikiliza madai yao zinahitajika sign laki moja,

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...