Ney Wamitego Akamatwa Morogoro leo Asubuhi
Kutoka Morogoro asubuhi hii Msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego
ambaye hivi karibuni ametoa wimbo mpya anaodai amezungumza ukweli wa
moyo wake kwa kinachoendelea, amethibitisha kukamatwa na Polisi.
Nay ameandika kwenye Instagram yake “Nimekamatwa
kweli muda huu nikiwa Hoteli Morogoro baada ya kumaliza kazi yangu
iliyonileta, napelekwa Movemero Police, Nawapenda Watanzania wote #truth
#Wapo”
No comments:
Post a Comment