kabesejr blog

kabesejr

albino

Monday, January 16

LIL KIM alipodance track ya mahasimu wake!

wameonyesha picha ya lil kim akiwa kwenye alipokua akihost party moja huko Tampa florida ijumaa usiku, japo amekua na beef na washkaji wa cash money, alionekana akicheza na kuimba track ya the motto ya Drake na lil Wyne, watu walivyoona hivyo wakadhani huenda ugomvi wao unakaribia kuisha lakin cha kushangaza mwishoni akatoa tusi ambalo lilionyesha kabisa ni maalum kwa Drake naLil wyne,

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...