kabesejr blog

kabesejr

albino

Thursday, January 19

MBUNGE WA ARUMERU JEREMIA SUMARI AFARIKI DUNIA

 

TAARIFA zilizotufikia katika mandao muda huu zinasema kuw Mbunge wa Jimbo la Arumeru kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Jeremia Sumari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hopitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa Kansa ya kichwa. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amina

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...