kabesejr blog
kabesejr
albino
Friday, May 31
Tuesday, May 14
RIPOTI YA POLISI YATOFAUTIANA NA RIPOTI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KUHUSU BOMU LA KANISANI
--->KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA LIBERATUSI SABAS – ACP ATOFAUTIANA NA TAARIFA YA AWALI YA MKUU WA MKOA.
--->WAGENI WAACHIWA KWA KUKOSA USHAHIDI ,WATANZANIA WASOTA RUMANDE.
---> ALIYEFIKISWA MAHAKAMANI ASHITAKIWA KWA MAUAJI NA SIYO UGAIDI.
---> WAANDISHI WAPIGWA NA BUTWA KILA MMOJA AONDOKA NA LAKE.
KASHFA MWANAUME ALIYELAZWA WODI YA WANAWAKE AMANA,MAPYA YAFICHUKA
MAAJABU zaidi yamebainika kuhusu kijana wa kiume, Karina Mohamed ‘Natalia’, 20, aliyelazwa wodi ya wanawake akidhaniwa ni mwanamke.
Karina Mohamed 'Natalia' akiwa katika hospitali ya Amana.
Karina, alilazwa wodi ya wanawake
akidhaniwa ni mwanamke kwenye Hospitali ya Amana ambayo ina hadhi ya
mkoa kitabibu, Ilala, Dar es Salaam, kabla ya kugundulika akiwa chumba
cha maiti baada ya kufariki dunia.
Pamoja na habari hiyo ya Karina kuandikwa kwenye gazeti ndugu na hili la Risasi Jumamosi, toleo namba 1005 la Mei 4, mwaka huu, Uwazi limebaini maajabu yaliyofanya alazwe wodi ya wanawake kwa siku mbili bila kugundulika.
MAAJABU YA KWANZA; SURA
Timu ya gazeti hili imebaini kuwa sura ya Karina, haina tofauti yoyote na ya mwanamke.
Uwazi limepata ushahidi wa picha za Karina, enzi za uhai wake na kujiridhisha kwamba sura ya kijana huyo ilikuwa na sifa nyingi za kike kuliko za kiume.
Pamoja na habari hiyo ya Karina kuandikwa kwenye gazeti ndugu na hili la Risasi Jumamosi, toleo namba 1005 la Mei 4, mwaka huu, Uwazi limebaini maajabu yaliyofanya alazwe wodi ya wanawake kwa siku mbili bila kugundulika.
MAAJABU YA KWANZA; SURA
Timu ya gazeti hili imebaini kuwa sura ya Karina, haina tofauti yoyote na ya mwanamke.
Uwazi limepata ushahidi wa picha za Karina, enzi za uhai wake na kujiridhisha kwamba sura ya kijana huyo ilikuwa na sifa nyingi za kike kuliko za kiume.
Karina Mohamed 'Natalia' enzi za uhai wake.
MAAJABU YA PILI; UMBOKupitia picha ambazo alipiga akiwa amevaa nguo za kubana, imebainika kuwa Karina ambaye ana asili ya Kiarabu, alikuwa ameumbika kwa sifa nyingi za kike.
KUNA WABUNGE WENYE MIMBA ZISIZO TARAJIWA,KUMBE YANAUKWELI BUNGENI
SKENDO nzito inalitafuna Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
ikitawala madai kwamba kuna wabunge wawili wanawake, wamejazwa mimba na
waheshimiwa wenzao wanaume.Awali, ulitawala uvumi kuwa mmoja wa wabunge wa upinzani (viti maalum),
akitokea Kanda ya Kaskazini, amepewa ujauzito na mheshimiwa mwingine
ambaye ni kiongozi anayeshika nafasi za juu kwenye moja ya vyama vikuu
vya upinzani nchini (wote majina yao tunayahifadhi kwa sasa)
YALIYOIBUKA BAADA YA BOMU ARUSHA HAYA HAPA
Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, Arusha ambapo bomu lililipuliwa.
MUDA mfupi tu baada ya bomu lilipotupwa na kulipuka kwenye Kanisa la
Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, Arusha, mambo mengi
yakatawala. Katika mitandao mbalimbali ya kijamii, moto ukawaka, huko
yaliyozungumzwa ni chuki tupu za kidini.Nianze kwa kuishauri serikali itunge sheria ya kudhibiti mitandao, maana inachipuka kama uyoga na jamii inatekwa. Huko kunazungumzwa mambo mazito, harakati nyingi haramu dhidi ya amani yetu, zinajadiliwa kwa uwazi. Ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Haiwezekani kudhibiti bila kuwepo kwa sheria mahsusi. Katika sheria zinazosimamia vyombo vya habari, kwa upande wa mitandao ni bubu. Kama hatujui athari, basi tusome mapinduzi katika nchi za Libya, Misri, Tunisia, Algeria na kadhalika.
Friday, May 10
Subscribe to:
Posts (Atom)