SKENDO nzito inalitafuna Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
ikitawala madai kwamba kuna wabunge wawili wanawake, wamejazwa mimba na
waheshimiwa wenzao wanaume.Awali, ulitawala uvumi kuwa mmoja wa wabunge wa upinzani (viti maalum),
akitokea Kanda ya Kaskazini, amepewa ujauzito na mheshimiwa mwingine
ambaye ni kiongozi anayeshika nafasi za juu kwenye moja ya vyama vikuu
vya upinzani nchini (wote majina yao tunayahifadhi kwa sasa)
No comments:
Post a Comment