kabesejr blog

kabesejr

albino

Thursday, June 13

PIGO JINGINELANGA AFARIKI DUNIA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcBidkcMGeAZ7rU8JSeU0YRKBkpu0f9ZJ2WKev9z5D45AOlK4kji9ipHq6e2hqPlg3IFc0u6uWrYBL2zlo2NfivYd12iokBC6PTkBNERAHBEKw3C0J8TDvll9BXOOiOu3pkq18trgy8B8/s1600/langa.jpg


TAARIFA ILIYOTUFUKIA CHUMBA CHA HABARI CHA DUNIA YA MICHEZO ,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYADA LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA.

LANGA AMBAYE INADAIWA KUWA ALIPATWA NA MALARIA KALI SANA HALI ILIYOPELEKEA KUKIMBIZWA HOSPITALI SIKU YA JANA.
TAARIFA KAMILI ITAKUJA BAAD
A

Monday, June 10

HABARI ILIYO TUFIKIA HIVI PUNDE MSANII WA BONGO MOVIE KASHI AFARIKI DUNIA






Habari iliyo tufikia hivi punde ni taarifa ya kifo cha msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi) aliyewahi kutamba na michezo ya ITV akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine wengi katika michezo ya  Tamu chungu  na mingine mingi Amefariki  mchana huu akiwa katika hospitali ya Muhimbili alipo kuwa amelazwa akizungumza na wandishi wetu  Rais wa shirikisho la wasanii amesema amopokea taarifa hiyo kwa majonzi makubwa na anasema kwamba tasnia yake bado inaendelea  kumbwa na majanga lakini amedai yote ni kazi ya MUNGU pia tulifanikiwa kuongea na Mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozo wake amesema  wamepoteza msanii  hodari na mpiganaji na pengo lake ni kubwa katika tasnia yetu
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU KASHI MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

Thursday, June 6

HIVI NDIVYO JINSI MSAFARA ULIYOKUWA UMESINDIKIZA MWILI WA ALBERT MANGWEA




 UMATI WA WATU WAKIWA NYUMBANI KWA MANGWEA.
ASKARI AKIONGOZA MSAFARA ULIOBEBA MWILI WA MANGEA MIKESE MKOANI MOROGORO AMBAPO ULIPOKELWA NA WASAN
II WA FANI MBALIMBALI WAKATI UKITOKEA DAR ES SALAAM
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
 MASHABIKI WA NGWEA WAKIWA WANAKIMBIA SAMBAMBA NA GARI LILILOBEBA MWILI WA NGWEA MIKE

MUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA,



 Habari zilizoufiki mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Kijana mtanashati aliyekuwa Mume wa Malkia wa Mipasho nchini, Khadija Kopa, aliyefahamika kwa jina moja la Jafari, amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa akitibia kile kilichoelezwa alikuwa akisumbuliwa na kifua. 
Jafari na Khadija Kopa, walifunga ndoa mwaka 2008.
 Wakati kifo hicho kinatokea mke wake hakuwepo jijini Dar, kwani alikuwa safarini Rukwa alikokwenda na kundi zima la TOT kwa ajili ya kusherehesha Sherehe za Siku ya Mazingira Duniani zilizofanyika Kitaifa mkoani humo, ambapo leo anatarajia kuwasili jijini. 
Ratiba kamili ya msiba huo bado hadi sasa haijafahamika lakini inadhaniwa huenda msiba huo ukawa  maeneo ya Chaline au Lugoba ambako ni nyumbani kwa wazazi wa Marehemu.
Marehemu, Jafari akiwa na mkewe Khadija Kopa, siku wa harusi yao mwaka 2008.

Wednesday, June 5

CHEKI YANAYOJIRI LEADERS WAKATI WA KUUAGA MWILI WA ALBATR MANGWAIR


 Mda huu ndio watu wanaingia taratibu taratibu kuja kutoa heshima zao za mwisho.. nitakuwa nikiwapa matukio haya LIVE mpaka safari ya Morogoro itakapokuwa tayari.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...