Habari iliyo tufikia hivi punde ni taarifa ya kifo cha msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi) aliyewahi kutamba na michezo ya ITV akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine wengi katika michezo ya Tamu chungu na mingine mingi Amefariki mchana huu akiwa katika hospitali ya Muhimbili alipo kuwa amelazwa akizungumza na wandishi wetu Rais wa shirikisho la wasanii amesema amopokea taarifa hiyo kwa majonzi makubwa na anasema kwamba tasnia yake bado inaendelea kumbwa na majanga lakini amedai yote ni kazi ya MUNGU pia tulifanikiwa kuongea na Mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozo wake amesema wamepoteza msanii hodari na mpiganaji na pengo lake ni kubwa katika tasnia yetu
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU KASHI MAHALI PEMA PEPONI AMINA.
No comments:
Post a Comment