PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
MSAFARA WA MAFARI BARABARA ENEO LA MKAMBARANI ULIKUWA HIVI.
HAPA MKAMBARANI, KULIA NI BASI LA BM LIKIVURUGA MSAFARA HUO.
MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA.
MWANDISHI MPIGA PICHA WA ABOOD MEDIA SALUM AKIWA SILIANA NA WATU WA OFISINI KWAKE.
BASI LA ABOOS AMBALO LILIWABEBA WASANII WA FANI MBALIMBALI, HAPA LIKIWA MIKESE WAKISUBIRI MSAFARA WA ULIOBEBA MWILI WA MANGWEA.
chanzo;jumamtanda.blogsport.com
No comments:
Post a Comment