SHEIKH PONDA MATATANI,MAMIA WAKUSANYIKA CENTRAL POLISI
Kuna habari kuwa watu wamekusanyika katika kituo cha polisi cha kati central ili kushinikiza sheikh Ponda aachiwe huru paada ya jana kukamatwa majira ya saa nne usiku habari zaidi utazipata hapahapa
No comments:
Post a Comment