Ishara
za mapema kutoka kwa kura ya maoni kuhusu uhalalishaji wa ndoa za
jinsia moja nchini Ireland zinaonyesha kuwa wanaounga mkono ndoa hizo
wanaelekea kupata ushindi mkubwa.
Kura zinaendelea kuhesabiwa na matokeo rasmi yanatarijiwa kutangazwa baadaye leo.
Lakini
mawaziri wa serikali ambao wanaunga mkono mabadiliko hayo ya
kikatiba,wameielezea siku ya leo kama ya kihistoria huku wengi
waliopinga kura hiyo wakiwapongeza waliounga mkono sheria hiyo ya ndoa
za jinsia moja.
Iwapo mabadiliko hayo yataidhinishwa,Ireland itakuwa nchi ya kwanza kuruhusu ndoa za jinsia moja kupitia wingi wa kura.