kabesejr blog

kabesejr

albino

Monday, July 23

NJIA MPYA MGAMBO KWA WANAOFUNGA MAGARI MJINI

 

HUYU JAMAA ALIKUA AMEPAK SEHEM AMBAYO HAIRUHUSIWI KU PAK AKAKUTA POLISI WAMESHA FUNGA TAIRI LAKE ALICHOFANYA AMEFUNGUA NA KUWEKA LINGINE POLISI WALIPO RUDI WAKAKUTA AMESHAONDOKA
NAHISI INAWEZA ANZA TUMIKA HATA BONGO JIPANGENI POLISI

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...