|
MSOMI wa Chuo Kikuu
cha Dodoma (UDOM), Viginia Mokiri usiku huu ameibuka Miss Vyuo Vya Elimu ya Juu
katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Club Maisha, Dar es Salaam.
Katika shindano hilo, ambalo majaji wake walikuwa ni Kamati ya Miss Tanzania,
Fatuma Ramadhani wa Chuo cha Uandishi wa Habari Arusha (ASJ), alishika nafasi ya
pili na Fina Recatus wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) alikuwa wa
tatu.
Aidha, Jane Maluli
alikuwa wa IFM nne na Helda Edward wa Ustawi wa Jamii alikuwa wa tano. Pichani
ni Viginia katikati, kushoto mshindi wake wa pili Fatuma na kulia mshindi wa
tatu Fina.
|
|
Renatha Richard katika vazi la
ufukweni |
|
Theresia
Isaya |
|
Migeshi
Boniface |
|
Viginia katika vazi la
ufukweni |
Fatuma
Ramadhani vaizi la zufukweni
|
Miss Dar Indian Ocean
2012 |
|
Washindi |
|
Majaji |
|
Bob Junoior
akitumbuiza |
|
Wapenzi |
|
Viginia |
|
Warembo wakicheza
shoo |
|
Warembo wakichezsa shoo ya
ufunguzi |
|
Din Ismajl
alikuwepo |
No comments:
Post a Comment