Diamond Platinumz.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' anataraji kupiga shoo wakati baadhi ya washiriki wa Big Brother Stargame watakapokuwa wakiyaaga mashindano hayo, siku ya Jumapili Mei 27 mwaka huu. Msanii huyo kwa sasa anatamba na nyimbo zake kama Mawazo, Lala Salama, Moyo Wangu na nyinginezo.
No comments:
Post a Comment