Mchezaji
wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet, akipita jukwaani na vazi la asili kwa
mikogo, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya
Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond
Jubilee, jana Mei 20, 2012
MBunge
wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, akipita jukwaani na vazi la
Harusi kwa mikogo, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza
miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye
Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi ya ua mwananmitindo
maarufu, Mustafa Hassanali, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea
kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika
kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa wanachama wa Taasisi ya Tushikamane Pamoja
Foundation’, Joha Simba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea
kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond
Jubilee, jana Me i 20, 2012
Mke
wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mama Margareth Samue Sitta,
akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo, wakati wa hafla ya maadhimisho ya
kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation,
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012
Source: Dina ismail
No comments:
Post a Comment