Kaimu Mkurugenzi na
Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) Paul Chizi akiongea na waandishi wa
habari mara bada ya kuwasili kwa ndege mpya aina ya Boeing
737-500 iliyokodishwa na
shirika hilo yenye uwezo wa kubeba
abiria 108.
Wafanyakazi wa Shirika
la Ndege la Tanzania (ATCL) wakishuka katika
ndegempya
aina ya Boeing 737-500 iliyokodishwa na
shirika hilo yenye uwezo wa kubeba
abiria 108.
Ndege hiyo itaanza kuruka bada ya wiki moja. Picha na Mpiga picha
wetu
Wahudumu wa Shirika la
Ndege la Tanzania (ATCL) .
Wafanyakazi wa Shirika
la Ndege la Tanzania (ATCL) wakikata keki
kusherekea ujio wa ndege ndege mpya aina ya Boeing
737-500.
Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi na
Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL )
No comments:
Post a Comment