Mchezaji wa Chuo Kikuub cha UDOM ,Justine Oresther
akipiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo wa pool kwa vyuo vikuu vya Dodoma
michezo hiyo inadhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari
Lager inaendelea
Refa wa mchezo akiwapatia maelezo wachezaji kabla ya
mchezo
Baadhi ya washabiki na wana vyuo Vikuu vya Dodoma
wakifatilia mchezo wa pool leo
Mchezaji wa chuo cha Maendeleo ya Vijiji 'MIPANGO'
Ibrahimu Juma akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo wa Pool
yanayodhaminiwa na SAFARI lAGER
Mchezaji wa chuo cha UDOM Morgan Asanta akijaribu
kupiga mpira
No comments:
Post a Comment