Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John
Mnyika.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo
(Chadema), John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi wa jimbo
hilo wa mwaka 2010, baada ya Mahakama kutupilia mbali mashitaka yote matano
yaliyokuwa yakimkabili ambayo ni :
1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza
nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika
Kuhesabu kura3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)
Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM)
anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na
Mahakama.
John
Mnyika Akiwa na Hawa Ng'umbi Leo Mahakamani.
No comments:
Post a Comment