Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake
Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini kapata ajali mbaya sana muda si mrefu.
Ajali hiyo imemtokea akiwa safarini toka Arusha kwenda Rombo na ni eneo la Bomang'ombe mjini.
Watu watatu akiwemo mamake mzazi wamekufa papo hapo.
Mhe. Selasini amepekimbizwa Hospitali ya wilaya ya Hai pale Bomang'ombe; hali yake si nzuri.
1 comment:
Pole sana mpambanaji wetu! Mungu awalaze mahali pema peponi. Amina
Post a Comment