PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA JINSI MKUTANO WA CHADEMA ULIVYOKUA JANGWANI LEO HII
Wafuasi wa CHADEMA wakiwa wamefurika katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam leo
Mh.Freeman Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA taifa akitoa hotuba yake yenye hamasa kubwa
Mewnyekiti wa Taifa Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA akiwahutubia wafuasi wa chama hicho leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kwenye uzinduzi wa kampeni yao ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambayo itazunguka mikoa yote ya Tanzania.
Dr Wlbroad Slaa nae akitoa msisitizo juu ya kampeni hiyo ya VUA GAMBA VAA GWANDA.
Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoa akizungumza katika mkutano huo.
Halima mdee mbunge wa jimbo la Kawe nae akitoa msisitizo juu ya kampeni hiyo.
Waandishi wa habari wakiwa kazini ili kupata lile na hili tayari kwa kuijuza jamii juu ya matukioya mkutano huo.
wafuasi wa chadema wakiwa wametulia tulii wakisikiliza sera
No comments:
Post a Comment