kabesejr blog

kabesejr

albino

Saturday, June 23

DIANA MISS DAR INDIAN OCEAN



Mrembo Diana Hussein (kati) amefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean kutoka kwa mwanadada Stella ambaye amemaliza muda wake, mwanadada huyu alifuatiwa na Kudra Lupatu (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto). Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam
 
Warembo waliofanikiwa kuingia tano bora.
 
Warembo waliofika 10 bora kabla ya kuingia kwenye mchujo wa kutafuta tano bora.
*Keep refreshing the page mambo yote yanakuja...ni Miss Dar Indian Ocean 2012..


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...