HOMBOLO WAICHARAZA ST JOHN 4-2
Kwa mara ya kwanza chuo cha serikali za mitaa Hombolo kuicharaza timu ya chuo cha st John kipigo cha mbwa mwitu jana kwa magoli 4 -2.
Mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa kimataifa Hombolo.
Kikosi cha Hombolo kinaongozwa na Pema.Goli la kwanza lilipachikwa na Aziz, la pili Kapinga katika kipindi cha kwanza na kipindi cha pili bao la tatu ni Tuma na la nne na Shabani aka Tores wa Hombolo.
Timu ya Hombolo inanolewa na Chidy aka Gadiola.
No comments:
Post a Comment