![]() |
| Mgombea Uenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji (kulia) akimsalimia Bi Rukia makao makuu ya klabu, Jangwani jioni hii alipofika kwa ajili ya usaili |
![]() |
| Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga mwenye suti akisalimiana na wanachama wa Yanga makao makuu ya klabu mida hii, alipofika kwa ajili ya usaili. |
![]() |
| Mgombea Ujumbe, Peter Haule kulia akisalimiana na Clement Sanga |
![]() |
| Wanachama wakishuhudia zoezi nje ya klabu |
![]() |
| Manji akizungumza na wanachama |
![]() |
| Manji na Peter Haule |
![]() |
| Manji akiingia kwenye chumba cha usaili, Clement Sanga anatoka |







No comments:
Post a Comment