MECHI
YA KIRAFIKI YA KIMATAIFA
IMECHEZWA LEO
Juni 9, 2012
UWANJA: MetLife — East Rutherford, New Jersey
REFA: J. Marrufo
MAHUDHURIO: 81994
Juni 9, 2012
UWANJA: MetLife — East Rutherford, New Jersey
REFA: J. Marrufo
MAHUDHURIO: 81994
Lionel Messi amepiga
hat-trick wakati Argentina, ikipata ushindi wa 4-3 dhidi ya wapinzani wao wa
jadi wa Amerika Kusini, Brazil usiku huu nchini Marekani katika mchezo wa
kirafiki wa kimataifa.
No comments:
Post a Comment