kabesejr blog

kabesejr

albino

Friday, June 22

STAA WA BONGO MOVE ATOA SINGO ‘KUMDISS’ NEY

Nyota kutoka tasnia ya filamu Bongo, Latifah Idabu ‘Badra’ ametoa ‘singo’ inayomchana ‘live’ staa wa Bongo Fleva, Ney wa mitego (mbavu nene).
Akizungumza na blog hii muda mfupi uliopita Badra amefunguka kuwa ameamua kutengeneza ngoma hiyo kufuatia kauli chafu dhidi ya wasanii wa kike aliyotowa Ney kwenye wimbo wake mpya wa hip hop ujulikanao kama ‘Nasema nao’ unaotamba hivi sasa kwenye vituo mbalimbali vya redio.
“Nimechukizwa mno na kitendo cha Ney kuimba kuwa mastaa wa Bongo movie ni makahaba , hawezi kusema hivyo na sisi tukaa kimya, ametushushia hadhi hasa ukizingatia sisi ni kioo cha jamii, ni zamu yake sasa kusikia nilichomwambia na kama kitamuuma atajibu” alisema Badra na kumalizia kwa t***i

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...