Katika kuonyesha kuwa anaguswa na kilichotokea, ‘star’ kutoka tasnia
aya filamu bongo Jackline Pentezel, ‘Jack wa Chuz’ amesema kuwa anaiweka
sokoni ‘ kufuli ‘ yake aliyokuwa amevaa siku alipododoka ‘on bed’ na
msanii mmoja maarufu hapa nchini.
Jack aliyeibukia kutoka tamthilia ya ‘Jumba la dhahabu’ ameiambiaDrogasian.com kuwa anataka kufanya jambo hilo ili kukusanya mkwanja wa
kumsaidia nyota mwingine kutoka ‘Bongowood’ Elizabert Michael ‘Lulu’
anayesota korokoroni hivi sasa akituhumiwa kuhusika na mauaji ya King wa
tasnia hiyo Marehemu Stevin Kanumba.
“Siyo kama sina pesa za kumsaidia Lulu ila nimemua kufanya hivyo kwa
imani kubwa kuwa nitakusanya pesa nyingi zaidi kutoka kwa watu ambao
watajitokeza kutaka kuinunua nguo hiyo” alisema Jack.
No comments:
Post a Comment