kabesejr blog
kabesejr
albino
Wednesday, June 27
DR ULIMBOKA AOKOTWA BAADA YA KUTEKWA
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).
UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
HIVI WANANCHI WENZANGU WA TANZANIA BADO TUNAITA NCHI YETU INA AMANI? ONA DOCTOR ULIMBOKA MZALENDO WA TANZANIA ALIYEJITOLEA KUSIMAMIA HAKI YA WANYONGE KILICHOMPATA,HIVI HII NI SULUHISHO SAHIHI KWA MGOMO WA MADAKTARI?,SERIKALI YETU IKO WAPI JE UNYAMA HUU UTAIPELEKA WAPI TANZANIA
Post a Comment