DIAMOND ATAVUNJA REKODI YA 20% KESHO KWENYE KILIMANJARO MUSIC AWARD?
Je utakua usiku wa Diamond Plutinum kesho? Hilo ndilo swali ambalo bila shaka wengi kati ya wapenzi wa muziki wa kizazi kipya nchini watakuwa wanajiuliza.
Shoo ya tuzo za muziki Tanzania, maarufu kama Kilimanjaro Music Award mwaka huu, itafanyika kesho kwenye Ukumbi wa Mlimani City na kuonyeshwa pia live na ITV.
Huenda msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond akavunja rekodi ya 20% aliyoiweka mwaka jana kwa kuchukua tuzo tano kwa mpigo.
Kazi za mwaka jana za Diamond zilizotamba ni wimbo Moyo Wangu na Mawazo ambazo zimeingia katika vipengele sita.
Lakini kama Diamond kama Diamond ameingia katika vipengele vya kuwania tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume, Mwimbaji Bora wa Kiume na Mtunzi Bora wa Mwaka.
Hii ina maana Diamond anapewa nafasi ya kuvunja rekodi ya 20 Parcent kesho na kwa sababu kazi zake zimeendelea kung'ara hadi siku za karibuni, wengi wana hamu kuona kesho itakuwaje.
Pamoja na Diamond ambaye ameingia kwenye vipengele sita, kuna wasanii wengine ambao wameingi kwenye vipengele vingi kama Ally Kiba na mwimbaji wa muziki wa taarabu Khadija Kopa na Isha ‘Mashauzi’ Ramadhani.
WATEULE TUZO ZA KILI MUSIC HAWA HAPA .....
WIMBO BORA WA MWAKA
1. hakunaga
2. dushelele
3.moyo wangu
4.mathematics
5. nilipe nisepe
6. riz one
MTUMBU1ZAJI BORA WA KIUME
1. diamond
2. allykiba
3. dully sykes
4. bob jr
5. mzee yusuph
MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
1.khadija kopa
2. isha mashauzi
3. queen darleen
4. dayna
5. shaa
MUIMBAJI BORA WA KIUME
1. alikiba
2. barnaba
3. diamond
4. belle 9
5. mzee yusuph
MUIMBAJI BORA WA KIKE
1. lina
2. lady jay dee
3. khadija kopa
4. dayna
5. isha mashauzi
WIMBO BORA WA R&B
1. nilipe nisepe / belle 9
2. usiniache / hemed
3. maumivu / ben pol
4. number one fun / ben pol
5. napata raha / jux
WIMBO BORA WA HIP HOP
1. famous
2. king zilla
3. mathematics
4. riz one
5. kilimanjaro
MSANII BORA WA HIPHOP
1. godzilla
2. roma
3. izzo b
4. joh makini
5. Fid q
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
1. Kigeugeu
2. Chokoza
3. Mulika mwizi
4. Coming home
5. 4sho 4 shizzle
MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA
1. Maco Chali
2. Pancho Latino
3. Bob jr
4. Maneck
5. Man walter
VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1. Moyo wangu
2. Hakunaga
3. Wangu / Jay dee na Blue
4. Ndoa ndoana / Kassim feat blue
5. Bongo fleva / Dully sykes
WIMBO BORA WA AFRO POP
1. Hakunaga / suma lee
2. Bongo fleva / Dully sykes
3. Moyo wangu / Diamond
4. Mawazo / Diamond
5. Nai nai / Ommy dimpoz
MSANII BORA ANAECHIPUKIA
1. Ommy dimpoz
2. Darasa
3. Recho
4. Abdul kiba
5. Beatrice aka nabisha
WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA
1. Daima milele / Barnaba
2. Dushelele / Alikiba
3. Nivute kwako / Dayna
4. Wangu / Jay Dee feat Blue
5. Kizungu zungu / Recho
MTUNZI BORA WA MWAKA
1. Diamond
2. Alikiba
3. Mzee yusuph
4. Barnaba
5. Belle 9
WIMBO BORA WA KUHSIRIKIANA
1. Famous / Jay Mo feat Mimms na Imu kadir
2. King zilla / God zilla feat Marco chali
3. Wangu / Jay Dee feat Blue
4. Kama ni gangstar / Chege feat Temba na Ferouz
5. Nai nai / Ommy dimpoz feat Alikiba
WIMBO BORA WA REGGAE
1.Mazingira / Malfred feat Lutan Fyah
2. Arusha gold / Warriors from East
3. Give it up to me / Delyla princess
4. Nia yao / 20%
5. Ni wewe/ Nakaaya
WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL
1. Good look / AY feat Miss Trinity
2. Maneno maneno / Queen Darleen
3. Ganja man / Dabo
4. Kudadeki / Malfred
5. Poyoyo / Malfred
WIMBO BORA WA TAARAB
1. Full stop / Khadija Kopa
2. Mamaa mashauzi / Isha Mashauzi
3. Hakun mkamilifu / Jahazi
4. Nani kama Mama / Isha Mashauzi
5. Nilijua mtasema / Jahazi
WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1. Dunia Daraja / African stars
2. Hukum ya Mnafik / Mashujaa band
3. Falsafa ya Mapenzi / Extra bongo
4.Usia wa babu / Mapacha Watatu
5. Mtenda /Extra Bongo
RAPA BORA WA MWAK A(BAND)
1. Kalidjo Kitokololo
2.Khalid Chokoraa
3. Fagason
4. Msafiri Diof
5. Totoo ze Bingwapitalini.
No comments:
Post a Comment