Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe akiongozwa na Mkurugenzi wa Msama Promotion kuelekea jukwaani kwa ajili ya kuzindua albam ya Solomon Mukubwa. |
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe akisalimiana na mwanamuziki Emi Kosgei kutoka Kenya, kulia ni Alex Msama. |
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe akisalimiana na waimbaji wa muziki wa injili kutoka kulia ni Christine Shusho, Upendo Nkone na Upendo Kirahiro |
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe akizungumza na mashabiki wa muziki wa injili kabla ya kuzindua albam hiyo. |
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe akizindua albam hiyo, kutoka kulia ni Alex Msama, Solomon Mukubwa, na John Melele wakishuhudia tukio hilo. |
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe akitoa ahadi yake ya kuinunua shilingi milini 10 ambapo pia |
Mashabiki lukuki wakiwa katika uwanja wa taifa jioni ya leo
Mwimbaji Solomon Mukubwa akiimba jukwaani kabla ya kuzinduliwa rasmi
No comments:
Post a Comment