Bondia Maneno Osward akishangilia ushindi na washabiki wake katikati ni Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo
Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka BOndia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla janaMkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka BOndia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla janaRefarii Antoni Luta akimfuta damu bondia Maneno Osward baada ya kuchanika jichoni jana wakati akipambana na bondia RAshidi Matumla
Mabondia Maneno Osward kushoto na Rashidi Matumla wakioneshana uwezo wa kutupiana masdumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es alaam janaMabondia Maneno Osward kushoto na Rashidi Matumla wakioneshana uwezo wa kutupiana masdumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es alaam janaBondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar LIve DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa pointBondia Furaha Nganda kushoto akimfurumushia mangumi bondia Jamuhuri SAidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar Live DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa pointi
No comments:
Post a Comment