kabesejr blog

kabesejr

albino

Sunday, April 8

MANENO YA MWISHO YA KANUMBA KUTOKA KWENYE BLOG YAKE


Hiki ndio cha mwisho alichokiandika kwenye blog yake ni kuhusu Tanzania Mitindo House kutimiza miaka mitano, wakiwa na kituo cha watoto yatima pia ambacho kimechangiwa sana na baadhi ya watu maarufu wa Tanzania akiwemo Kanumba.



No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...