kabesejr blog

kabesejr

albino

Wednesday, April 11

TAARIFA YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA KUHUSU TETEMEKO LINALOTARAJIWA KUTOKEA TANZANIA LEO JIONI.

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imethibitisha kwamba leo huko Sumatra Indonesia kumetokea tetemeko maarufu kama Tsunami chini ya bahari ambapo hii hali inatarajiwa kutengeneza mawimbi ya Tsunami ambayo yanatarajiwa kufika kwenye pwani ya Tanzania  hasahasa sehemu za Mtwara kuanzia saa 11 jioni leo.

Mamlaka hiyo imesema “tunaomba wananchi kuchukua tahadhari na kufatilia taarifa kwenye vyombo vya habari kufahamu hali inaendeleaje kwa sababu tutakua tunatoa taarifa kila wakati, tunategemea mawimbi hayo kuwa ni mita moja nukta mbili, kama uko sehemu ambayo iko tambarare mawimbi yanaweza kuingia ndani zaidi lakini kama kuna muinuko, inaweza isiathiri.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...