kabesejr blog

kabesejr

albino

Wednesday, April 25

PRISONS YAPOKELEWA KAMA WAFALME MBEYA



Wednesday, April 25, 2012

BAADA YA KURUDI LIGI KUU - ANGALIA PRISONS WALIVYOPOKELEWA MBEYA

Mahabiki wa soka mkoa wa Mbeya wakiwa na furaha baada ya kuliona basi wachezaji wa Tanzania Prisons barabarani. Prisons imefanikiwa kupanda daraja baada ya kujaribu kwa takribani misimu kadhaa sasa

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...