MWENYEKITI WA KLABU YA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AKIMKABIDHI JEZI YA SIMBA WAZIRI MKUU WA AWAMU YA TATU FREDIRICK SUMAYE AMBAYE NI SHABIKI WA KUTUPWA WA SIMBA KABLA YA MCHEZO KUANZA. |
UJUMBE KUTOKA KWA WANA MSIMBAZI. |
TIMU ZA SIMBA NA AL AHLY ZIKIIINGIA UWANJANI |
KIKOSI CHA SIMBA KILICHOANZA JANA. |
WACHEZAJI WA SIMBA WAKIMPONGEZA HARUNA MOSHI BOBAN BAADA YA KUFUNGA BAO LA KUONGOZA. |
MOYO WA MASHAMBULIZI YA SIMBA EMMANUEL OKWI AKIPELEKA MASHAMBULIZI KATIKA GOLI LA AL ALHLY |
BENCHI LA WACHEZAJI WA AL ALHLY WAKIWA NA SIMANZI KUBWA BAADA TIMU YAO KUANZA KUFUNGWA NA SIMBA |
EMMANUEL OKWI AKISHANGILIA NA PATRICK MAFISANGO BAADA YA KUFUNGA GOLI LA 3 |
No comments:
Post a Comment