Ndege ya shirika la ATC yapata ajali ikiwa katika harakati za kupaa kwenda jijini DAR kutokea Kigoma.Katika habari hii iliyoifikia blog hii ya more fire zinasema hakuna mtu aliyeumia kwan ilikua inaanza kupaa kwa bahati mbaya mvua ilishindwa kutokana na mvua iliyonyesha.Ndege imeharibika kwenye bawa la upande mmoja
No comments:
Post a Comment