kabesejr blog

kabesejr

albino

Tuesday, April 10

MOTO JIJINI ARUSHA WATEKETEZA MADUKA 8

Moto umezuka jijini ARUSHA na kuteketeza maduka 8.Moto huo umetokana na jiko la umeme eneo la katikati ya jiji hilo kwenye soko la majengo,wkat moto ukiendelea magari ya zima moto yaliishiwa maji na kwenda kufata huku moto ukiendelea kusambaa zaidi

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...