kabesejr blog

kabesejr

albino

Friday, April 6

LEMA AVULIWA UBUNGE

Mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless leo hii amevuliwa ubunge na  Mahakama kuu kanda ya Arusha, Ambapo ameshitakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya kashfa, matusi na kejeli katika kampeni za kugombea ubunge huko Arusha.Hapo wafuasi wa chama cha ccm washangilia ila chadema kutoa tamko kesho jmosi

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...