
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa

Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.
No comments:
Post a Comment