RAISI JAKAYA KIKWETE AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JENERALI MSTAAFU ADAM MWAKANJUKI
Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki mapema asubuhi leo Aprili 22, 2012 katika kambi ya JWTZ ya Kikosi cha Anga kabla ya kupelekwa Zanzibar kwa mazishi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange na Mhe. Aboud wakiangalia wakati jeneza lenye mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki ulipokuwa unaingizwa katika ndege mapema asubuhi leo Aprili 22, 2012 katika kambi ya JWTZ ya Kikosi cha Anga kabla ya kupelekwa Zanzibar kwa mazishi.
No comments:
Post a Comment